sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,213
Hivi katika tukio kama hili utamfanyaje rafiki yako. lol
Na mimi nashona shati la kanga,''Ukisusa wenzio wala''
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi katika tukio kama hili utamfanyaje rafiki yako. lol
Wanawake wa uswazi hakuna kununa wala kunyimwa unyumba, ni mafumbo kwenda mbele
Dawa ya moto ni moto,unashona shati la khanga lenye maneno,''Chakula cha jirani kitamu.''
Wanawake ni majanga matupu...haya hii stori imenitamausha kabisa BONGO KUNA LAANA:Miss Utalii Na Msanii Wa Bongo Movies Wanaswa Katika Tendo La Usagaji - bkuHABARI
Hii thread ilishaletwa siku nyingi Itafute ujipatie burudan ya bure. Ila uwe makini usijeanza umbea.
Hii thread ilishaletwa siku nyingi Itafute ujipatie burudan ya bure. Ila uwe makini usijeanza umbea.
Leta link kak...tucheke
Natumia kamchina mkuu. Kana aleji na link.
Leta link kak...tucheke