Hasidi hana sababu.
Twaila nyama wewe mfupa, ukimnyima siye twampa.
Ya mitaani uyajue wewe, yako ayajue nani?
YOU KNOW NOTHING.
Japo chungu we meza.
uuuwiii natamani nikutie kumacho
Hii thread ilishaletwa siku nyingi Itafute ujipatie burudan ya bure. Ila uwe makini usijeanza umbea.
tatizo mkuu hawaangaliagi thread zilizopendwa kale hawa
ndo maana wanacopy na kupaste tu hapa kuwajazia maserver mlolongo
πππππ
Wee mshana jr wewe, utanitiaje machoni bhana?
:cell::cell::cell::cell::cell::cell::cell: kwanini hutaki kupokea simu yangu?
miss you bl!
biashara ya kutuchanganya sipendi kabisa
pls ifute kama ni :baby: nitaanzisha ligi ndefu hapa
kwani umenipigia jamani hebu ingia PM nione kama umenipigia
miss you bl!
Miss you 2. Halafu wewe ni kaka yangu tunatoka Musoma wote wajua?
whaaaaaattt??? i dont get this?
musoma sehem gani mamii?
hebu tuhamie pm kwanza...
Ndio hivyo mi nakuchora tu. haahahaaaa
hahahaaaa!!! nakuona besti!
afu nshasema ntaoa kwetu ujue..
Itabidi tufanye mchakato wa kutafuta huko.
tuanzie humu kwanza kabisaaa!!!
fursa zipo!
Kama unawajua wa nyumbani wapo humu, kumbe ni rahisi sana na nitapata wifi humu. Uninong'oneze kule ni nani na nani.....
Wee mshana jr wewe, utanitiaje machoni bhana?
Ladyfurahia hii ni part two yake na inakuja part three au ni dhambi thread kuwa na part 2 na 3??tatizo mkuu hawaangaliagi thread zilizopendwa kale hawa
ndo maana wanacopy na kupaste tu hapa kuwajazia maserver mlolongo
πππππ