Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

tatizo mkuu hawaangaliagi thread zilizopendwa kale hawa
ndo maana wanacopy na kupaste tu hapa kuwajazia maserver mlolongo
😕😕😕😕😕

:cell::cell::cell::cell::cell::cell::cell: kwanini hutaki kupokea simu yangu?
 
Kama unawajua wa nyumbani wapo humu, kumbe ni rahisi sana na nitapata wifi humu. Uninong'oneze kule ni nani na nani.....

mmo wengi sana humu nikwambie!

kuna Mchumba ambae yuko na asigwa (dah.. huyu dogo sijui aliniwahije wallahi!)

halafu kuna charminglady, huyu sijajua anahudumiwa na nani hasa!
 
Last edited by a moderator:
tatizo mkuu hawaangaliagi thread zilizopendwa kale hawa
ndo maana wanacopy na kupaste tu hapa kuwajazia maserver mlolongo
😕😕😕😕😕
Ladyfurahia hii ni part two yake na inakuja part three au ni dhambi thread kuwa na part 2 na 3??
 
Back
Top Bottom