Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Haya Bantu ladr unazifahamu zile khanga zimeandikwa mapenzi ni ya wawili?
mshana jr nakuona,nakuona!Wawili ndio mimi na yeye tu!"Kuna nyingine imeandikwa,"Mke wa mtu sumu,"Ukitaka kifo mnyatie mke wa mtu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu changu changu, chako changu!Hahahaaaa!Utarithi vyotee lakini sio Bantu lady wangu

Hoooooney tena chake chako??????? hebu usinifanye presha ipande muda huu ni nini hiko????? Niambie ulikosea kuandika please uwiiiii unajua honey wewe huna haiba ya kuwa bazazi. Jamani nahisi nazidi kuumwa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Hoooooney tena chake chako??????? hebu usinifanye presha ipande muda huu ni nini hiko????? Niambie ulikosea kuandika please uwiiiii unajua honey wewe huna haiba ya kuwa bazazi. Jamani nahisi nazidi kuumwa kabisa.

Hahaaaa asavali umemsikia mwenyewe asije sema ni typing error
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…