gungu yetu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 176
- 60
Ukisusa wenzio twalaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niruhusu uone ila iwe siri yetu Angel Nylon my wife akijua patachimbika
mmo wengi sana humu nikwambie!
kuna Mchumba ambae yuko na asigwa (dah.. huyu dogo sijui aliniwahije wallahi!)
halafu kuna charminglady, huyu sijajua anahudumiwa na nani hasa!
hivi mlifikia wapi?Ha ha ha mkuu tatizo huna swaga kama za madenge bana.
Huyu asigwa sijui kaniwekea nini mie yaani dah
Akhu sitaki miye mapenzi ya siri. Ninaye mume wangu ananitosha kabisa nishindwe mimi tu. Hakuna hiyo nafasi.
mshana jr nakuona,nakuona!Wawili ndio mimi na yeye tu!"Kuna nyingine imeandikwa,"Mke wa mtu sumu,"Ukitaka kifo mnyatie mke wa mtu!Haya Bantu ladr unazifahamu zile khanga zimeandikwa mapenzi ni ya wawili?
jaman hata salam mamii?:busu haya yako hio!
Uuuwiii uuuwiii uuuwiii...!!!
Habari ndio hiyo. Anayekupenda lazima awe na uchingu nawe, ndio kaja sasa hahahaaa pole. Anza kuacha usia.
Hamna shida sungura1980 ni ndugu yangu naamini hatutagombana nikifa mimi atarithi vyangu n vise versa
Hahahaaa haya bhana. Mambo ya ndugu nawaachia ndugu wenyewe.
Hamna shida sungura1980 ni ndugu yangu naamini hatutagombana nikifa mimi atarithi vyangu n vise versa
Mkuu changu changu, chako changu!Hahahaaaa!Utarithi vyotee lakini sio Bantu lady wangu
Ladyfurahia umekuwa mkali mpaka naogopaNaomba usinizoee best nina mume wangu wa ukweli humu mjengoni pls pls acha kunizoea kiasi hicho
Ni kweli kabisa hii habari imevuruga mada hebu endelea kutupia misemo mingine basi
mmo wengi sana humu nikwambie!
kuna Mchumba ambae yuko na asigwa (dah.. huyu dogo sijui aliniwahije wallahi!)
halafu kuna charminglady, huyu sijajua anahudumiwa na nani hasa!
Hoooooney tena chake chako??????? hebu usinifanye presha ipande muda huu ni nini hiko????? Niambie ulikosea kuandika please uwiiiii unajua honey wewe huna haiba ya kuwa bazazi. Jamani nahisi nazidi kuumwa kabisa.
Mie nahudumiwa na my hezbend @C6... una jingine???