Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Mkiwa wanne sijui nani atapata siti ya kukaa, nani atashika bomba na nani atapakatwa, ni kasheshe. One is for the journey two is overcrowded three is suffocating but four......
 
Reactions: BAK
Nimebaki natabasamu tu lol! Ukibahatika kuwepo ndani ya ndoa kama hii wewe utachagua nafasi ipi Sky Eclat!?

Mkuu hapo hakuna ndoa ni mashindano binti uhasama. Hata kama uko kwenye menopause kwasababu bi mdogo amebeba mimba na wewe unaenda kutafuta fertility tablets ukamate ya kwako.
 
Reactions: BAK
Mkuu hujasikia ndoa za Waislamu za wake wanne!? Na hivi karibuni humu kulikuwa na uzi wakristo wakiomba ruhusa ya kuoa mke zaidi ya mmoja ili wafyatuane kwa sana na hawakuweka limit ya wake wa kuoa.

Maafa ya dunia sikuzote yanaleta mapungufu katika uwiano wa jamii, biashara ya utumwa, vita za kale kati ya jamii na jamii, vita wakoloni walipovamia ardhi yetu Afrika, vita I na II ya dunia hivi vyote vilisababisha uwiano kati ya wanawake na wanaume kupungua na ili kuwastiri wanawake iliamriwa watu kuoa zaidi ya mke mmoja.

Nchi za ulaya zinatambua ndoa moja na kama una wake wawili mmoja anakua ni agenda ya siri. Hawa wanaotaka Ukristo uhalalishe wake wengi, kama hawajaogopa UKIMWI sijui wataogopa janga gani linguine.
 
Reactions: BAK
Dah!baada ya kusoma ujumbe nimekodoa macho zaidi mpaka nikauona mkato wa chumba hivi vitu adimu sana siku hizi kisha nikakumbuka enzi za kuweka kioo chini ya dawati kisha unajifanya mtabiri kumwambia bint amevaa rangi gani.
Duuuuuuh mkuu usikose kusoma hata ujumbe huo ni mzuri kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…