SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kanga au pichu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unampelekea zawadi mama mkwe.Khanga zina mambo hizi...
Ahaaaaaaa kanga mkuuKanga au pichu?
Mkiwa wanne sijui nani atapata siti ya kukaa, nani atashika bomba na nani atapakatwa, ni kasheshe. One is for the journey two is overcrowded three is suffocating but four......
Dunia vituko. Ipo mitaani hii
Mkiwa wanne sijui nani atapata siti ya kukaa, nani atashika bomba na nani atapakatwa, ni kasheshe. One is for the journey two is overcrowded three is suffocating but four......
Mkuu hapo hakuna ndoa ni mashindano binti uhasama. Hata kama uko kwenye menopause kwasababu bi mdogo amebeba mimba na wewe unaenda kutafuta fertility tablets ukamate ya kwako.Nimebaki natabasamu tu lol! Ukibahatika kuwepo ndani ya ndoa kama hii wewe utachagua nafasi ipi Sky Eclat!?
Mkuu hapo hakuna ndoa ni mashindano binti uhasama. Hata kama uko kwenye menopause kwasababu bi mdogo amebeba mimba na wewe unaenda kutafuta fertility tablets ukamate ya kwako.
Maafa ya dunia sikuzote yanaleta mapungufu katika uwiano wa jamii, biashara ya utumwa, vita za kale kati ya jamii na jamii, vita wakoloni walipovamia ardhi yetu Afrika, vita I na II ya dunia hivi vyote vilisababisha uwiano kati ya wanawake na wanaume kupungua na ili kuwastiri wanawake iliamriwa watu kuoa zaidi ya mke mmoja.Mkuu hujasikia ndoa za Waislamu za wake wanne!? Na hivi karibuni humu kulikuwa na uzi wakristo wakiomba ruhusa ya kuoa mke zaidi ya mmoja ili wafyatuane kwa sana na hawakuweka limit ya wake wa kuoa.
Dah!baada ya kusoma ujumbe nimekodoa macho zaidi mpaka nikauona mkato wa chumba hivi vitu adimu sana siku hizi kisha nikakumbuka enzi za kuweka kioo chini ya dawati kisha unajifanya mtabiri kumwambia bint amevaa rangi gani.
Duuuuuuh mkuu usikose kusoma hata ujumbe huo ni mzuri kwakoDah!baada ya kusoma ujumbe nimekodoa macho zaidi mpaka nikauona mkato wa chumba hivi vitu adimu sana siku hizi kisha nikakumbuka enzi za kuweka kioo chini ya dawati kisha unajifanya mtabiri kumwambia bint amevaa rangi gani.
YUKO CHUKUCHUKU....HAPA NI LAZIMA UDINDISHE HAIJALISHI ENEO ULILOPO......
hivi sikuhizi khanga bado zina soko kama enzi zile aisee. ama mabinti wa sikuhizi wamehamia uchinaniKhanga zina mambo hizi...
yeye wala hana habari hapo. yake kazi kufua tu. kule kwetu hatunaga hizo kama darKanga au pichu?
![]()
hahhhahaha uswazi uswazini