Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Na hayo maneno ya ukakasi ndiyo angeyaona. Yule Khantwe sijui ananitafuta nini eti kaniletea zawadi ya kanga yenye maneno haya.
Yaani ni shida jamani...ujue neno lolote hata kama ni neno la Mungu linaweza kuonekana ni dongo inategemea tu tafsiri ya msomaji
 
Kwwko Niko radhi kutumia laki 2 I'll mradi tu upate majibu yako. Angalia lkn usije jinyonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Andaa laki kabisa maana mwenzio nina kabati zima la khanga zenye madongo
 
Kwwko Niko radhi kutumia laki 2 I'll mradi tu upate majibu yako. Angalia lkn usije jinyonga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nahisi unachowaza!
Maskini ungejua donge nililonalo ungeninunulia tu khanga yakuniomba msamaha..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nahisi unachowaza!
Maskini ungejua donge nililonalo ungeninunulia tu khanga yakuniomba msamaha..
Bora unajua ninachowaza, usianze kunitishia
Nunua majibu ninayo
 
Kabisa mkuu ndiyo maisha yetu uswazi
kwa sisi wanaume vipanga hamna kitonga kama kutomb.a madem wenye bifff....unamuanza mmoja..unamlaaa ile anaanza kumtambia mwenzake unachuna unahamia kwa adui yake..kwa akili ndogo utapewa uchi akimkomoa kumbe wewe wala zako raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…