Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Kuna zile zilitoka kipindi cha Bendi ya Tot na Muungano Ziko hot mjini

Wewe sanamu la Micheline hupendezi.
Kinyago cha mpapure.
Wadudu wadogo wadogo ( Hahahahaaaaaa niliavaa nakushona)
Gendaheka mjini hupawezi.
 
tehe tehe tehe nimemkumbuka mpoki juzi alikuwa anatuchamba wanawake wembamba, eti raha ya kanga maneno yote yasomeke, sasa sisi hatuna chura, tunazungusha kanga mara tatu, hata maneno ya kwenye kanga hayasomeki yote
 
Umenikumbusha hiyo Kinyago cha mpapure teh.

Ila bwana zamani kanga zilikuwa na majina ya kuchefua sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndo kiboko ya wasoma khanga za wenzao
 
Kuna zile zilitoka kipindi cha Bendi ya Tot na Muungano Ziko hot mjini

Wewe sanamu la Micheline hupendezi.
Kinyago cha mpapure.
Wadudu wadogo wadogo ( Hahahahaaaaaa niliavaa nakushona)
Gendaheka mjini hupawezi.
Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha hiyo Kinyago cha mpapure teh.

Ila bwana zamani kanga zilikuwa na majina ya kuchefua sana.
 
Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jaman huu wimbo mama alinunuaa hii kanda basi alikuwa na beef na mama mmoja hivi alikuwa anamuhisi anatembeaa na baba jaman ilikuwaga balaaaa mama ana kanga za misemo balaaa mojawapo inasemaga 'SIONGEI NA KUKU MCHAKURA CHINI NAONGEAA NA MWANAUME MKAA KITINI 'Yaan mama ana ma kanga balaa ya misemo umenikumbusha mbali plus na ike taarabu ya nasma hamisi kidogo mwanamke mazingiraa
 
Back
Top Bottom