Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Haya mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nahisi mhusika yupo humu atanigundua na sitaki anifahamu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nahisi mhusika yupo humu atanigundua na sitaki anifahamu hapa
Wewe umenunua ipi mkuu?Sikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie
Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
Ah ah ah ah ah ah ahYa kwangu imeandikwa usidharau dafu embe tunda la msimu
Ilikuwepo pia ile "Alaa kumbe"Ninakumbuka
Jogoo la shamba haliwiki mjini
Nilikuwa naipenda kweli hiyo khangaIlikuwepo pia ile "Alaa kumbe"
Hahaaaa. Mie ninayo ila nimenunua haya matoleo mapya sio yale ya zamani.Nilikuwa naipenda kweli hiyo khanga
Hongera sana!Hahaaaa. Mie ninayo ila nimenunua haya matoleo mapya sio yale ya zamani.
Itafute mwaya na kuna zile zilikuwa zimechorwa Mavi ya Mbuzi kanga nzima [emoji814] [emoji814] [emoji814] [emoji814] sijui zinaitwaje huwa nazitamani.Hongera sana!
Ngoja na mimi nije niitafute
Oooh nazikumbuka japo sikumbuki maandishi yakeItafute mwaya na kuna zile zilikuwa zimechorwa Mavi ya Mbuzi kanga nzima [emoji814] [emoji814] [emoji814] [emoji814] sijui zinaitwaje huwa nazitamani.
Siku nikigongana nazo inabidi nizinunue.
Ila zamani kulikuwa na Khanga nzuri sana aisee.Oooh nazikumbuka japo sikumbuki maandishi yake
Dharau yako haininyimi kulaUkiona kimya ujue nimekudharau !
Sana....kuna zile kanga za I LOVE YOU hivi bado zipo madukani?Ila zamani kulikuwa na Khanga nzuri sana aisee.
Nakuona muhenga wanguSana....kuna zile kanga za I LOVE YOU hivi bado zipo madukani?