Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Naona kama zimeadimika ila zipo zilizoandikwa "Nakupenda" ila zipo tofauti kimuonekano na zile.Sana....kuna zile kanga za I LOVE YOU hivi bado zipo madukani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama zimeadimika ila zipo zilizoandikwa "Nakupenda" ila zipo tofauti kimuonekano na zile.Sana....kuna zile kanga za I LOVE YOU hivi bado zipo madukani?
Alaaa kumbe !!Dharau yako haininyimi kula
Hahahaaa. Hizo mtu anaweza kujishuku kumbe hata hujamvalia yeye.Hahahaaaaaa kuna moja mpaka nilikuwa naogopa kuvaa " kusema mtanisema kunitamkia hamuwezi "
Umenikumbusha hiyo Kinyago cha mpapure teh.Kuna zile zilitoka kipindi cha Bendi ya Tot na Muungano Ziko hot mjini
Wewe sanamu la Micheline hupendezi.
Kinyago cha mpapure.
Wadudu wadogo wadogo ( Hahahahaaaaaa niliavaa nakushona)
Gendaheka mjini hupawezi.
Zamani mtu neno likitoka analo Lazima anunue. Mtu kuwa na doti 100 za khanga ni kitu cha kawaida sana.Umenikumbusha hiyo Kinyago cha mpapure teh.
Ila bwana zamani kanga zilikuwa na majina ya kuchefua sana.
Yaani unakuta khanga ikiingia basi kila mtu lazima aikate (msemo wa watu wa Tanga huo) na kuhusu hizo doti wengine hadi zinapita 100 ujue.Zamani mtu neno likitoka analo Lazima anunue. Mtu kuwa na doti 100 za khanga ni kitu cha kawaida sana.
Nakumbushia vitu vya enzi zetu...[emoji23] [emoji23]Nakuona muhenga wangu
Aisee... Nilikuwa nazo zikaibiwa [emoji18] [emoji18] [emoji18]Naona kama zimeadimika ila zipo zilizoandikwa "Nakupenda" ila zipo tofauti kimuonekano na zile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi siku hizi kuna khanga zenye maandishi mazuri kama zamani?Thad kuna zile zilizochorwa Bata yuko kwenye maji zinasema " Kila uonalo wasema na hili pia kaseme"
Duuh Khanga hizi lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo cha mtoto,kuna zile za "HODI HODI ZIMEZIDI CHAKUWAPA SINA"Hahahaaaaaa kuna moja mpaka nilikuwa naogopa kuvaa " kusema mtanisema kunitamkia hamuwezi "
Ndio maana mimi sisomagi maandishi ya khanga ya mtu. Labda awe mtu wangu wa karibu au niwe dukaniHahahaaa. Hizo mtu anaweza kujishuku kumbe hata hujamvalia yeye.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndo kiboko ya wasoma khanga za wenzaotehe tehe tehe nimemkumbuka mpoki juzi alikuwa anatuchamba wanawake wembamba, eti raha ya kanga maneno yote yasomeke, sasa sisi hatuna chura, tunazungusha kanga mara tatu, hata maneno ya kwenye kanga hayasomeki yote
Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna zile zilitoka kipindi cha Bendi ya Tot na Muungano Ziko hot mjini
Wewe sanamu la Micheline hupendezi.
Kinyago cha mpapure.
Wadudu wadogo wadogo ( Hahahahaaaaaa niliavaa nakushona)
Gendaheka mjini hupawezi.
Umenikumbusha hiyo Kinyago cha mpapure teh.
Ila bwana zamani kanga zilikuwa na majina ya kuchefua sana.
Kipindi hicho mtu anakununulia khanga na kanda ya taarab. Ukijifanya hujui kusoma basi utasikia madongo yako kwenye kanda ya taarab [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiringo ndio nani?