Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Itafute mwaya na kuna zile zilikuwa zimechorwa Mavi ya Mbuzi kanga nzima [emoji814] [emoji814] [emoji814] [emoji814] sijui zinaitwaje huwa nazitamani.

Siku nikigongana nazo inabidi nizinunue.
Oooh nazikumbuka japo sikumbuki maandishi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…