Naupenda jamaniWanakwambia kama sijakosea "Muuza karanga wamtaka wewe, Mkurugenzi wamtaka wewe, Muuzaji duka wamtaka wewe , kwako bora shilingi"
Hahahaaa. Nije niutafutage huo mwimbo siku moja niusikilize.
Ukiupata huo wimbo unitumie na mimiWanakwambia kama sijakosea kuna sehemu wanasema "Muuza karanga wamtaka wewe, Mkurugenzi wamtaka wewe, Muuzaji duka wamtaka wewe , kwako bora shilingi"
Hahahaaa. Nije niutafutage huo mwimbo siku moja niusikilize.
Mie nakumbuka nimeusikiliza kipindi kirefu sana tena kwa kutumia Kanda.Naupenda jamani
Umeshaujua vizuri lakini?Ukiupata huo wimbo unitumie na mimi
Ninao Ila Nashindwa kuaatachMie nakumbuka nimeusikiliza kipindi kirefu sana tena kwa kutumia Kanda.
Uko vizuri sana aisee. Wanakwambia "Tuliza ball kiwanja kidogo, tuliza ball haya si madogo" Teh.
Beef Lasagna umenikumbusha mbali lol. Kama sijachanganya madawa na hayo maneno pia yapo.
Tumia Web ndio kama inakuwa rahisi sana upande wa kuattachNinao Ila Nashindwa kuaatach
Siujui vizuri ila nakumbuka baadhi ya maneno yake. Taarabu za zamani nazo zilikuwa nzuri sio hizi za kizazi kipya!Umeshaujua vizuri lakini?
Wa Melody huo.
Mie nakumbuka nimeusikiliza kipindi kirefu sana tena kwa kutumia Kanda.
Uko vizuri sana aisee. Wanakwambia "Tuliza ball kiwanja kidogo, tuliza ball haya si madogo" Teh.
Beef Lasagna umenikumbusha mbali lol. Kama sijachanganya madawa na hayo maneno pia yapo.
Fanya mpango utuwekee hapa huo wimbo bestJitangaze Kikaon, jitangaze redioni mwishowe kichochoroni kwa Wangu huoni ndaniii, wewe mwanamke gani umezoea kombaini mimi na wewe hatushindani huna bao Zoazoa
Hahaaaaaaa 😛
Nimetulia warandaaaJitangaze Kikaon, jitangaze redioni mwishowe kichochoroni kwa Wangu huoni ndaniii, wewe mwanamke gani umezoea kombaini mimi na wewe hatushindani huna bao Zoazoa
Hahaaaaaaa 😛
Zilikuwa nzuri sana yaaani. Wacha kabisaSiujui vizuri ila nakumbuka baadhi ya maneno yake. Taarabu za zamani nazo zilikuwa nzuri sio hizi za kizazi kipya!
We ulitaka iendelee kuuzika hiyo ya kupanua paja au nini maoni yako.Sikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie
Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
Na madera mengi ni transparent,na ninavyopenda shanga basi nikikodolea mnamo kiunoni lazima niambulie kuona kama si shanga basi hata chupi loh.Na Madera kuwepo kwa wingi nao umefanya Khanga zisiwe na soko sana.
Mungu akupe kila la kheri
Mshukuru Mungu
Kheri na baraka tele zikufikie.
Nakuomba maulana kheri unizidishie.
Za kitambo hizo,nakushauri uende kwenye maduka makubwa ya khanga utazipata na roho yako itatulia mkuu.Itafute mwaya na kuna zile zilikuwa zimechorwa Mavi ya Mbuzi kanga nzima [emoji814] [emoji814] [emoji814] [emoji814] sijui zinaitwaje huwa nazitamani.
Siku nikigongana nazo inabidi nizinunue.
Na madera mengi ni transparent,na ninavyopenda shanga basi nikikodolea mnamo kiunoni lazima niambulie kuona kama si shanga basi hata chupi loh.
Inabidi aisee huwa nazitamani sana kwa kweli. Ahsante kwa ushauri.Za kitambo hizo,nakushauri uende kwenye maduka makubwa ya khanga utazipata na roho yako itatulia mkuu.
HahahahahahaaaaaaSikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie
Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
Zako zimeandikwaje?Shost, wewe kanga zako zimeandikwaje?