Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Wanakwambia kama sijakosea kuna sehemu wanasema "Muuza karanga wamtaka wewe, Mkurugenzi wamtaka wewe, Muuzaji duka wamtaka wewe , kwako bora shilingi"

Hahahaaa. Nije niutafutage huo mwimbo siku moja niusikilize.
Ukiupata huo wimbo unitumie na mimi
 
Mie nakumbuka nimeusikiliza kipindi kirefu sana tena kwa kutumia Kanda.

Uko vizuri sana aisee. Wanakwambia "Tuliza ball kiwanja kidogo, tuliza ball haya si madogo" Teh.

Beef Lasagna umenikumbusha mbali lol. Kama sijachanganya madawa na hayo maneno pia yapo.
Ninao Ila Nashindwa kuaatach
 
Mie nakumbuka nimeusikiliza kipindi kirefu sana tena kwa kutumia Kanda.

Uko vizuri sana aisee. Wanakwambia "Tuliza ball kiwanja kidogo, tuliza ball haya si madogo" Teh.

Beef Lasagna umenikumbusha mbali lol. Kama sijachanganya madawa na hayo maneno pia yapo.

Jitangaze Kikaon, jitangaze redioni mwishowe kichochoroni kwa Wangu huoni ndaniii, wewe mwanamke gani umezoea kombaini mimi na wewe hatushindani huna bao Zoazoa

Hahaaaaaaa 😛
 
Jitangaze Kikaon, jitangaze redioni mwishowe kichochoroni kwa Wangu huoni ndaniii, wewe mwanamke gani umezoea kombaini mimi na wewe hatushindani huna bao Zoazoa

Hahaaaaaaa 😛
Fanya mpango utuwekee hapa huo wimbo best
 
Jitangaze Kikaon, jitangaze redioni mwishowe kichochoroni kwa Wangu huoni ndaniii, wewe mwanamke gani umezoea kombaini mimi na wewe hatushindani huna bao Zoazoa

Hahaaaaaaa 😛
Nimetulia warandaaa
Nnashuka unapandaaa uko moja niko kendaaa

Najua kiruka njia pa kulala wapandia
Waume wawahahia yeyote kwako sawia
Uchagui wafyagia city Council nyuma pia
Wivu we hutonitia huna bao Zoazoa.

Hahahaaa. Lol. Hatari sana zile nyimbo za kale.
 
Sikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie

Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
We ulitaka iendelee kuuzika hiyo ya kupanua paja au nini maoni yako.
 
Na Madera kuwepo kwa wingi nao umefanya Khanga zisiwe na soko sana.

Mungu akupe kila la kheri
Mshukuru Mungu
Kheri na baraka tele zikufikie.
Nakuomba maulana kheri unizidishie.
Na madera mengi ni transparent,na ninavyopenda shanga basi nikikodolea mnamo kiunoni lazima niambulie kuona kama si shanga basi hata chupi loh.
 
Itafute mwaya na kuna zile zilikuwa zimechorwa Mavi ya Mbuzi kanga nzima [emoji814] [emoji814] [emoji814] [emoji814] sijui zinaitwaje huwa nazitamani.

Siku nikigongana nazo inabidi nizinunue.
Za kitambo hizo,nakushauri uende kwenye maduka makubwa ya khanga utazipata na roho yako itatulia mkuu.
 
Na madera mengi ni transparent,na ninavyopenda shanga basi nikikodolea mnamo kiunoni lazima niambulie kuona kama si shanga basi hata chupi loh.

Hahahaa. Weweeee. Hivyo mtu akivaa dera moyo wako burudaani kabisa. Lol
 
Sikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie

Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
Hahahahahahaaaaaa

Eti wafanya biashara hii ni kweli?
 
Huu uzi umenikumbusha mbali kweli, mara yangu ya kwanza kununua khanga nilijinunulia tu bila hata kusoma maneno yake kilichonikuta ilikuwa balaa
Tia kaubuyu basi Thad[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom