Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

HARUFU.jpg

Ha ....
 
Nilikorofishana kidogo na mpenzi wangu nikagoma kula nikaondoka ile narudi namkuta kavaa khanga imeandikwa 'ukisusa wenzio wala',jamani hivi haki kweli kuvaa khanga kama hii maana sio mara yake ya kwanza kuna safari flani hivi nilisafiri kwa dharura sikumuaga niliporudi nikamkuta kavaa khanga imeandikwa 'ni bora nimpe jirani kuliko kiozee ndani',.na kuna siku niliacha hadi kwenda kazini niliamka nikakuta kanivalia khanga imeandikwa 'ukitoka wenzako wanaingia'.jamani hivi maneno ya kwenye khanga hayana mipaka?
 
Duuuhh, pole sana.

Kabla ya kuwa na mahusiano na mtu ni vizuri ukajitahidi kumfahamu tabia, fikra, mazingira aliyokulia na matarajio yake kwenye maisha.

Huyo wako tabia, fikra na matarajio yake vimefungamana na maisha ya uswahilini. Hicho anachokifanya ni hulka na tabia yake hawezi Acha ni sawa na kupika "mchele wa Kyera" utegemee usinukie.

Ima kubaliana na hiyo hali au......
 
Nilikorofishana kidogo na mpenzi wangu nikagoma kula nikaondoka ile narudi namkuta kavaa khanga imeandikwa 'ukisusa wenzio wala',jamani hivi haki kweli kuvaa khanga kama hii maana sio mara yake ya kwanza kuna safari flani hivi nilisafiri kwa dharura sikumuaga niliporudi nikamkuta kavaa khanga imeandikwa 'ni bora nimpe jirani kuliko kiozee ndani',.na kuna siku niliacha hadi kwenda kazini niliamka nikakuta kanivalia khanga imeandikwa 'ukitoka wenzako wanaingia'.jamani hivi maneno ya kwenye khanga hayana mipaka?
Nenda bongo movie maana hapa sio mahali pa maigizo...
 
Mkuu, samahani kwanza ila ni kwamba huyo unaemfuga kama ni kweli unachokisema ni changudoa wa aina fulani au ni mwanamke mwenye mapungufu makubwa sana ikiwemo hekima ndogo. Mwanamke anaejiheshimu na kukupenda, mwenye ni ya kudumu na wewe kwenye mahusiano hawezi kufanya upunguani kama huo. Kuna uwezekano ana nia ya kukuumiza, kukutia wivu au hayo anayokuonyesha anayafanya kweli au anapanga kuyafanya. Tumia akili.
 
wewe mwanaume bwna maneno ya kweny
e kanga yatakuumizaje kichwa bwana we piga kimya au kama vip kanunue nawew uamvalie wkati wa kwenda kuoga
 
Back
Top Bottom