Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kabisa mkuu ndiyo maisha yetu uswaziKuna siku nilishuhudia watu wakipigana vijembe kwa khanga... Yani ni kupeana maneno mubashara kabisa. Ugomvi wa kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu ndiyo maisha yetu uswaziKuna siku nilishuhudia watu wakipigana vijembe kwa khanga... Yani ni kupeana maneno mubashara kabisa. Ugomvi wa kimya kimya.
Huku kwetu Kwamtogole mume wako akiwa na vitz na unajiona nayo unavaliwa ' mali ya mume si ya kuringia'Juzi kuna mtu nimesoma khanga yake inasema:-
Kama vyuma vimekaza Kiringo grisi anayo.
Hahahhaha mkuu umeuaaaaHuku kwetu Kwamtogole mume wako akiwa na vitz na unajua haya nayo unavaliwa ' mali ya mume si ya kuringia'
Huku kwetu Kwamtogole mume wako akiwa na vitz na unajua haya nayo unavaliwa ' mali ya mume si ya kuringia'
Na mama mkwe anakuvalia "utamaliza waganga mume halogeki"Na mwenye mume anavaa, “Bora mie mwenye Mume kuliko weye wa kudanga”
Shost, wewe kanga zako zimeandikwaje?Hahahhaha mkuu umeuaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo ma mkwe naye atakuwa anataka ligiNa mama mkwe anakuvalia "utamaliza waganga mume halogeki"
Kiringo ndio nani?Juzi kuna mtu nimesoma khanga yake inasema:-
Kama vyuma vimekaza Kiringo grisi anayo.
Huyo mke atavaliwa khanga iliyoandikwa "Napendeza kwa pesa ya mumeo"Na mwenye mume anavaa, “Bora mie mwenye Mume kuliko weye wa kudanga”
Tena zenye maneno ya ukakasi ndiyo rangi na maua vimetuliaKuna siku nilikuwa namnunulia mtu zawadi ya kanga aisee nilipata shida sana kuchagua maandishi maana kila ninaloliona lina ukakasi
Au tutabanana hapa hapaHuyo mke atavaliwa khanga iliyoandikwa "Napendeza kwa pesa ya mumeo"
Kuna siku nilikuwa namnunulia mtu zawadi ya kanga aisee nilipata shida sana kuchagua maandishi maana kila ninaloliona lina ukakasi
Ndio maana watu wengi wanatoa zawadi ya vitenge kuepusha usumbufu wa mkanganyiko wa maneno ya kwenye khangaKuna siku nilikuwa namnunulia mtu zawadi ya kanga aisee nilipata shida sana kuchagua maandishi maana kila ninaloliona lina ukakasi
Mm yangu imeandikwa "Asante Mungu kwa wema wako"Shost, wewe kanga zako zimeandikwaje?
Wewe tena lazima.Mm yangu imeandikwa "Asante Mungu kwa wema wako"
Nitanunua majibu yake, nimeshahis so acha nitafute elfu kumi fast a ukinunua asbh jion majibu yako yapoWewe tena lazima.
Ila jiandae soon nitakuvalia khanga moja matata maana nina donge na wewe....[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Andaa laki kabisa maana mwenzio nina kabati zima la khanga zenye madongoNitanunua majibu yake, nimeshahis so acha nitafute elfu kumi fast a ukinunua asbh jion majibu yako yapo