Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maradhi yote ugua ila kuchacha usiombe
Maskini hafilisiki,
Pesa huna,nguvu huna hata mkwara?
Huo sio msemoVua gamba vaa gwanda.
Tenda wema mara mia,adui akijua, umeumia.
Kama unaweza mtie kama mumeo umzuie.
Mbuzi kala mkeka,wambea mtakalia nini?.
Usisafirie nyota ya mwenzio.
Utamu wa wali matandu,uzuri wa kiuno chach*ndu.
Raha ya nanga baharini,mtoni utatoka na tope.
Mjinga akierevuka,mwerevu uko matatani.
Utamu wa mtwangio kutwanga,raha ya wanaume,mapanga nshhaaaa....!!!
Niendelee....?
nimekukubali madame.. dahh, Uzuri wa kiuno chachandu.!!!
Madame B raha ya nanga baharini...nimekukubali endeleaTenda wema mara mia,adui akijua, umeumia.
Kama unaweza mtie kama mumeo umzuie.
Mbuzi kala mkeka,wambea mtakalia nini?.
Usisafirie nyota ya mwenzio.
Utamu wa wali matandu,uzuri wa kiuno chach*ndu.
Raha ya nanga baharini,mtoni utatoka na tope.
Mjinga akierevuka,mwerevu uko matatani.
Utamu wa mtwangio kutwanga,raha ya wanaume,mapanga nshhaaaa....!!!
Niendelee....?