Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Chururu si ndondondo '"hizi kanga zilitoka mwishoni mwa miaka ya 80 zilikuwa maarufu mno
 
Sasa usipoweka picha tutaelewaje unachokisema,si unajua humu tumejaa vilaza bila kuelekezwa kwa picha hatuelewi kabisa
 
Heri ya chui kuliko binadamu adui
 
Nipende nijisikie wambea waumie.

Mpenzi wangu habibi yuko wapi simuoni.

Mganga Mungu.

Sio hapo chini kidogo.

Raha ya dodo lisiwe dogo.
 
Utamaliza limao dhahabu haiwi almasi.

Hujui kuosha si ajabu kakutosa.

Huu mwili wako anza upendacho.

Tanua paja mkwaju waja.

Ya juzi lakini huitunzi.
 
Hupewi bila kuomba.

Kuku hujamjulia bata utamuweza.

Hima hima nikupe anachokunyima.

Wenzio twaoga wewe waroga.

Raha ya shavu liwe kavu.
 
Back
Top Bottom