Majina na Tabia zake

Irene-warembo ila balaa wanaume wengi
Aneth - Baamedi
Yusuph-wana vichogo kama ncha ya pipi iliyomumunywa!
Ally-watundu,vilaza darasani!
Neema-walokole
Asha-Mdomo hawafai
Juma-soka wanaweza,ila waizi wa kuku!
Said-hawaeshimu wakubwa
John-madomo zege!
 
Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa

da kuna jamaa anaitwa deo ni tapeli wa kutupwa!!hiyo naijua 100%
 
wengine kama Ibrahim huwa wanabusara sana,, wapole and great thinkers
 
Allan........
Allen...........
Alice..........
?????????????

Alice wanajisikia hao?? Manjonjo kibao lakini Mkichwa ni ''seti tupu'' na zaidi ya yote wavivu na vicheche vilevile. Ila wana figure nzuri.
 
Tanesco-HAWAAMBILIKI oops kumbe majina ya wa2,
ok
GLORY-wanamaringo
ROSE-kwa wanaume
CHAUSIKU-hana maendeleo.
DEO-kwa vidosho noma
 
samahani mzee na kina Martin wakoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…