Majina na Tabia zake

Kwa hiyo kama huridhiki na tabia yako inabidi ubadili jina dah haya bana. Ila nasikia wenye majina ya Akwinata watamu ila eti kukuchomesha mahindi kwao kawaida.
 
Na majina kama
JAMES
ERICK
GERARD
ROBERT
GEORGE HUWA INAKUAJE?
 
Yuda - Waongo
Samson - Wapole
Mateo, Matthew, Mathias - Viwembe
Sarah - ving'ang'anizi
Lameck - Wana adabu sana
Rose - wanajiona
Joshua - Wakarimu, watanashati
Kwenye red..Na niwagombanishi sana
 
David beckam
david villa
king david (bible)
.
.
.


Huwa wanapendwa sana....
 
Emmanuel mbona wengi waungwana; sijawahi kuckia wakihusishwa na ugomvi au fujo!
 
patrick wanakuwaga wanaume wafupiii...maneno tele
martin ni warefu wenye malengo.
 
charles huwa ni wabishi sana
shaaban huwa ni wabishi na wajuaji
farida huwa ni malaya
ninao kina Shabani wawili,hawa jamaa wanapenda ligi mpaka basi. Ila my brother wangu kaoa my wife wake anaitwa Farida kama vipi nitamtest nimuone kama malaya au vipi.
 

Frida huwaga na furaha siku zote,sio waongeaji sana,hawana kinyongo,wala makuu...wakiamua kununa wamenuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…