Zimba
Senior Member
- Jul 30, 2011
- 113
- 14
Katavi;Ahahahahaaah vipi na haya majina yetu ya asili kama Mizengo, Paramagamba na mengine ya aina hiyo!
Mizengo: Huwa ni wawindaji, tabia za upole lkn wakali sana pale inapotokea tofauti, clever na very bright ktk mambo mengi hasa kielimu.
Paramagamba: Huwa ni wavuvi wazuri wa samaki, tabia za wizi na wenye wivu sana!