Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Hapa kuna mawili, aidha unafanyia promo LODGE inayokuhusu au kweli umefurahia ubunifu wa majina. Binafsi nimemkubali aliyevipa vyumba majina. Na wewe una kitu usipuuzwe..
Na mimi nitakua na yangu mwakani IJN ila hiyo hainuhusu mkuu.
Hata mimi nimemkubali aliyewapa hilo wazo.

Nina kitu gani mkuu?
Niambie niringe bathi😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…