Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majina sio hatimiliki. Mfano Wema akija kulalamika ataambiwa Wema ya pale ni neno la Kiswahili linaloashiria utu, uungwana. Zari akija ataambiwa ni zari la mentali.baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Kwani Wema wako wangapi? Na haya majina hayana Trademark kama jina la kampuni. Angeweka mpaka Ubini unaweza sema anahusika.baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Ameandika jina moja tena la kisanii hawezi kushindea kesibaadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?