Nina miaka mingi saivi nakula Kwa macho, Kila nikijitahidi naishia kusimamisha mnala dakika 1 kisha kuangukaItafikia hatua utakula kwa macho
Malizia malizia
Kabisa, yaani ukiangalia halafu upo mwenyewe.๐๐๐
Wana balaa hao ila wanajua wanachokifanya
Hahahahahaha!Hili ni Tangazo limekaa kikatili sana hongera kwa ubunifu wako mkuu.
Yale magari yako ya racing hayafiki huko mkuu.Vikindu ipo wapi?
๐Ingekuwa nimeshalipwa hela zangu za Korosho ningekupa ofa ya Dodoma Wine Kwa bill yangu
Barikiwa sana Mkuu ๐
Basi tuwe wote kwa maana ku score na kulala siyo jadi yangu, right?Nilienda mwenyewe na mie ni Ke mkuu
Usijali, nina uzoefu kiasi kwenye hii kazi ya LodgeMkuu zidi kubarikiwa sana๐๐ผ๐๐ผ
Asante kwa muda wako.
Nitazingatia sana.
No 7 imenibariki kujua ninachotaka kufanya ni sahihi sbb watu wengi wananishauri eti nikifungua niwe na wadada wenye mishepu wa kuvutia wateja ila mimi natamani vidada virembo vya kawaida kama vya mahotel.
Pole kwa kuandika๐๐ผ๐๐ผ
Sawa mkuu nimeishia kuangalia mikono na miguu tu mkuu sawa bhana..Sio kweli mkuu!
Nilichokiandika ndicho๐๐ผ