Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Mkuu zidi kubarikiwa sana🙏🏼🙏🏼
Asante kwa muda wako.
Nitazingatia sana.
No 7 imenibariki kujua ninachotaka kufanya ni sahihi sbb watu wengi wananishauri eti nikifungua niwe na wadada wenye mishepu wa kuvutia wateja ila mimi natamani vidada virembo vya kawaida kama vya mahotel.
Pole kwa kuandika🙏🏼🙏🏼
Usijali, nina uzoefu kiasi kwenye hii kazi ya Lodge
 
Back
Top Bottom