Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Ni mwendo wa kuweka majina ya Meli,Visiwa na Bandari kubwa duniani.

Maersk Alabama, Jolly Perla,Maersk Emma,Port Elizabeth, Monza, Cecily
Hayo majina yanaweza kukuletea shida kwa kuwa ni Trademarks za watu. Sema kwa kuwa wewe ni mdogo watakuwa hawashida kukushitaki labda iwe kampuni kubwa
 
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ Yote haya kayataka yule mzee wa hovyo Grahams
Hicho kizee Grahams ni kishenzi sana kiliniibia madem zangu wa 2 humu mimi namuangalia tu siku ntaja nikaloge ndo akili itamkaa sawa

Halafu huyo jamaa sio mzee hata ni mbaba tu hana uzee wowote ule 😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…