Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Why us lakini?
Wana ndoa kama nyie ni vyema mbadilishe mazingira ya mapenzi kidogo seek adventure🤣🤣 Why us lakini?
Hata kama angeandika Wema Sepetu bado hana kosa kisheria, unless Wema awe amesajili hilo jina lake kama brand name yakeKwani Wema wapo wangapi!?.., Tatizo ni kuandika Wema Sepetu. Halafu ukifika level ya kujenga LODGE kama hiyo hayo mambo unakuwa unayajua.
😉🤗🤗🤗 Asante jiraniWewe tena si ndio jirani wa dhahabu kabisa
Hata kama yakiandikwa majina yote kumi kama unayo siyo shida. Shida hutokea pale mwenye jina/majina amelisajiri kama brand name yake pale BrelaKiuhalisia ili mtu uweze kutambulika ni lazima majina yote matatu yatakwe ila hilo la jina moja mmmh haina shida
NaamHata kama yakiandikwa majina yote kumi kama unayo siyo shida. Shida hutokea pale mwenye jina/majina amelisajiri kama brand name yake pale Brela
Tutaenda kutafuta last born wetu hapo mkuu🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Wana ndoa kama nyie ni vyema mbadilishe mazingira ya mapenzi kidogo seek adventure
Hayo majina yanaweza kukuletea shida kwa kuwa ni Trademarks za watu. Sema kwa kuwa wewe ni mdogo watakuwa hawashida kukushitaki labda iwe kampuni kubwaNi mwendo wa kuweka majina ya Meli,Visiwa na Bandari kubwa duniani.
Maersk Alabama, Jolly Perla,Maersk Emma,Port Elizabeth, Monza, Cecily
Mpaka raha mama chanja prepareTutaenda kutafuta last born wetu hapo mkuu🤣