π€£π€£π€£π€£π€£Mpaka raha mama chanja prepare
Kwani ameandika majina matatu?baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Bado 1 my dear namsubiria kwa hamu Zote π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sie tulishafunga mahesabu bwana.
Weeeh na uzee huu! Hapana.Bado 1 my dear namsubiria kwa hamu Zote π€π€£
Kuwa na huruma na Wazee Mkuu, hivi na umri huu nilionao, hao mademu nawapeleka wapi? πHicho kizee Grahams ni kishenzi sana kiliniibia madem zangu wa 2 humu mimi namuangalia tu siku ntaja nikaloge ndo akili itamkaa sawa
Halafu huyo jamaa sio mzee hata ni mbaba tu hana uzee wowote ule π
Si ndio ulimshauri huyu mzee wa hovyo mwenzio!Nimefanyaje Mjukuu?
π€£π€£π€£ sawa tutakuja.In short karibuni kwenye hii gesti my dear mfanye kilimo cha lastborn π€π€π€
Kama uko ulaya wewe ni umbwaaMi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.
Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.
Nyau de adriz
Hahaha...........lakini hilo ni jambo jema, mbona Mimi na Bibi yenu tulipata last born wetu at our 68 yrs sehuse wewe mwenye 30's πSi ndio ulimshauri huyu mzee wa hovyo mwenzio!
30's!!!!!!! Unaniona mtoto mwenzio eehπ€£Hahaha...........lakini hilo ni jambo jema, mbona Mimi na Bibi yenu tulipata last born wetu at our 68 yrs sehuse wewe mwenye 30's π
Hahaha...........Mimi nimebakiza birthday mbili tu nagonga 80 ujue30's!!!!!!! Unaniona mtoto mwenzio eehπ€£