Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka raha mama chanja prepare
Sie tulishafunga mahesabu bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Mpaka raha mama chanja prepare
Kwani ameandika majina matatu?baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Bado 1 my dear namsubiria kwa hamu Zote 🤗🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sie tulishafunga mahesabu bwana.
Weeeh na uzee huu! Hapana.Bado 1 my dear namsubiria kwa hamu Zote 🤗🤣
Kuwa na huruma na Wazee Mkuu, hivi na umri huu nilionao, hao mademu nawapeleka wapi? 🙌Hicho kizee Grahams ni kishenzi sana kiliniibia madem zangu wa 2 humu mimi namuangalia tu siku ntaja nikaloge ndo akili itamkaa sawa
Halafu huyo jamaa sio mzee hata ni mbaba tu hana uzee wowote ule 😏
Si ndio ulimshauri huyu mzee wa hovyo mwenzio!Nimefanyaje Mjukuu?
🤣🤣🤣 sawa tutakuja.In short karibuni kwenye hii gesti my dear mfanye kilimo cha lastborn 🤗🤗🤗
Kama uko ulaya wewe ni umbwaaMi-thed weld dwellers bana mnawazaga na kuendekeza starehe na anasa tu. Badala ungeenda maporini huko ukafanye research ya kilimo ili food security nchini iwe steady.
Mmebakia ku-focus tu kwenye utopolo.
Nyau de adriz
Hahaha...........lakini hilo ni jambo jema, mbona Mimi na Bibi yenu tulipata last born wetu at our 68 yrs sehuse wewe mwenye 30's 😜Si ndio ulimshauri huyu mzee wa hovyo mwenzio!
30's!!!!!!! Unaniona mtoto mwenzio eeh🤣Hahaha...........lakini hilo ni jambo jema, mbona Mimi na Bibi yenu tulipata last born wetu at our 68 yrs sehuse wewe mwenye 30's 😜
Hahaha...........Mimi nimebakiza birthday mbili tu nagonga 80 ujue30's!!!!!!! Unaniona mtoto mwenzio eeh🤣