Ni ya wanandoaKwa hiyo ni lodge ya uzinzi
Itakuwa anatania tu 🤗Kama wewe fundi mbona mzee Grahams kakupora pisi 2 unabaki kulia lia tu😀😀
Mi pisi ikishaingia kwenye cobweb hakuna wakunipora😀
Unaporwaje demu blaza??!!😎😂😀
We jikoe tu hapaItakuwa anatania tu 🤗
Mabinti humu hawataki ku-date na sisi Wazee, wanasema tunaweza kufia kwenye kinena 🙌
Kweli hatuna bahati
Kuwa na imani na Wazee Mkuu 🤗We jikoe tu hapa
Kaa kwa kutulia dogo..Chaiii 🫨🫨🫨🫨🫨
Simba bingwaMbona umereact kwenye message yangu kwa kicheko bado tu huoni emojis zako sista 😂😀!?
#Yanga bingwa
Daah utakua member wa selfika kwa siri siri nini?Ni mrefu pia mkuu we ni mrefu au ni omollo usijekuta anakuzidi urefu!
Huo uzee wako wadanganye wengine..hahhahaItakuwa anatania tu 🤗
Mabinti humu hawataki ku-date na sisi Wazee, wanasema tunaweza kufia kwenye kinena 🙌
Kweli hatuna bahati
Wanawake huwaambii kitu juu ya wastaafu 😀😀.Hicho kizee kinatumia hela kuwalaghai na ameshalala na wengi humu basi tu napotezea 🤣
Niko emolo kiasi chake😀 ila pochi yangu ni supa tolu.😜Ni mrefu pia mkuu we ni mrefu au ni omollo usijekuta anakuzidi urefu!
Wanawake warefu ndo ugonjwa wangu huo 😀😀Ni mrefu pia mkuu we ni mrefu au ni omollo usijekuta anakuzidi urefu!
Wastaafu nyie ndio sukari ya warembo kwa sasaItakuwa anatania tu 🤗
Mabinti humu hawataki ku-date na sisi Wazee, wanasema tunaweza kufia kwenye kinena 🙌
Kweli hatuna bahati
😜😎😎Daah utakua member wa selfika kwa siri siri nini
Pole sana umejoin 2010 hata wewe inaonekana ni age goo mkuu au!?Wanawake huwaambii kitu juu ya wastaafu 😀😀.
Mi mwenyewe ex wangu yuko na mstaafu hataki hata kunisikia asee wanawake!!😁😀
Kama pochi yako, ni supa tolu ex wako angekuacha!? Acha uongo weweNiko emolo kiasi chake😀 ila pochi yangu ni supa tolu.😜
Age go yes ila kustaafu bado sana.Pole sana umejoin 2010 hata wewe inaonekana ni age goo mkuu au!?
Nilipanga kumuoa so nikajifanya bado najitafuta come to america style.😀AkanikimbiaKama pochi yako, ni supa tolu ex wako angekuacha!? Acha uongo wewe
Alikua mzuri au wa kawaida?Nilipanga kumuoa so nikajifany m+0a bado najitafuta come to america stwayle.😀Akanikimbia
Labda Wazee wenzangu, ila Mimi sina bahatiWastaafu nyie ndio sukari ya warembo kwa sasa
Kuwa na imani na Wazee...Huo uzee wako wadanganye wengine..hahhaha