Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Sawa mkuu.
Japo domo zege ila sitako wa kuunganishiwa😀
Haya kila la heri kaka...hahhaha usijali utapata tuu...ila sasa usije kwa hii gia ya kumvamia kila demu hadharani...ww kama unamtaka kweli nenda PM ..akikuelewa sawa akikufurusha sawa pia..mm nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...
 
Sawa! Urafiki wetu udumu lakini ili siku Yanga tukishinda ligi nikutanie zaidi 🙂😀
Mi nishazoea matani...yani hata mshinde mara elfu nipo na nyie bega kwa bega kuwatania na kuwakera...
Hahahhah
Jamani emoj zangu zimepotea siwezi weka emoji yoyote sijui nimebonya wapi
 
Haya kila la heri kaka...hahhaha usijali utapata tuu...ila sasa usije kwa hii gia ya kumvamia kila demu hadharani...ww kama unamtaka kweli nenda PM ..akikuelewa sawa akikufurusha sawa pia..mm nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...
Roger that sista angu m cutefully
 
Habari wakuu.

Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.

Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.

Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.

Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀

Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.

Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀

Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3153889View attachment 3153890
Kwa hiyo ni lodge ya uzinzi
 
Back
Top Bottom