father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Naomba usimpe stress huyo mremboDaah ndo umekasirika hivyo!
Basi nisamehe mimi nilikua natania tu 😄😄😄
I'm sorry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba usimpe stress huyo mremboDaah ndo umekasirika hivyo!
Basi nisamehe mimi nilikua natania tu 😄😄😄
I'm sorry
Sasa na ww bana...kwahyo na ww unalipizaKama ni kweli hujakasirika Nimefurahi 🤗🤗
Ninaacha dislikes kwanzia sasa ila kumbuka we ndo ulinianza 😎😎
Safi sana huna kisiraniMods hawapendi hizo kama unavyoziweka wewe kama njugu unnecessarirly wanakupa ban chap...
Sijakarika bana ila mm naona unanichosha..hahaha
Eeeh si kidogo ila naona mashambulizi yamekushinda 🤣🤣🤣.Sasa na ww bana...kwahyo na ww unalipiza
Hayajanishinda ila naona ni upuuzi..hahaahEeeh si kidogo ila naona mashambulizi yamekushinda 🤣🤣🤣.
Sawa mkuu.Ni kweli mimi mke wa mtu blo....
Huku nipo tu kuchangamsha tuu genge napoteza muda na ushabiki wa simba na yanga...
Vipi unataka mchumba nikuunganishie?
Sawa! Urafiki wetu udumu lakini ili siku Yanga tukishinda ligi nikutanie zaidi 🙂😀Hayajanishinda ila naona ni upuuzi..hahaah
Haya kila la heri kaka...hahhaha usijali utapata tuu...ila sasa usije kwa hii gia ya kumvamia kila demu hadharani...ww kama unamtaka kweli nenda PM ..akikuelewa sawa akikufurusha sawa pia..mm nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...Sawa mkuu.
Japo domo zege ila sitako wa kuunganishiwa😀
Kweli wanaume tumeumbiwa mateso mi wakuitwa mtoto na Atoto !!!?🤔Muache mtoto.
Mi nishazoea matani...yani hata mshinde mara elfu nipo na nyie bega kwa bega kuwatania na kuwakera...Sawa! Urafiki wetu udumu lakini ili siku Yanga tukishinda ligi nikutanie zaidi 🙂😀
Roger that sista angu m cutefullyHaya kila la heri kaka...hahhaha usijali utapata tuu...ila sasa usije kwa hii gia ya kumvamia kila demu hadharani...ww kama unamtaka kweli nenda PM ..akikuelewa sawa akikufurusha sawa pia..mm nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...
Huwez kuwa na sura ya baba.Sisi humu ni mashangazi kaka...mix sura za baba usije ingia mkenge
Kwa hiyo ni lodge ya uzinziHabari wakuu.
Kama mnakumbuka niliwahi kuandika uzi juu ya ndoto yangu ya kuanzisha Lodge na nikaumba ushauri juu ya biashara hiyo ambayo Kwa mapenzi ya Mungu mwakani nitakua tayari kuifanya InshaAllah🙏🏼.
Sasa ktk harakati zangu za kufanya research juu ya biashara hii kuna mtu akanishauri nipite pite ktk Lodge kadhaa nione wenzangu wanavyofanya na akanishauri ktk Lodge nitakazopitia nisiache kufika ktk Lodge inayoitwa ALAFAYA iliyoko VIKINDU.
Nikamwambia why niende mbali kote huko?Akasema wewe nenda amini utajifunza mengi.Siku ya siku nikaenda hapo ALAFAYA nikajifanya mteja.Nilipofika hapo nikaelewa kwanini jamaa yangu alisisitiza niende hapo.
Ni ka Lodge fulani hivi kadogo dogo kenye mazingira tulivu na yenye kuvutia sana ndani na nje.Naweza kusema kwa wilaya nzima ya mkuranga hakuna Lodge Classic kama ile.Vipo vingi nimeiga na kuvifanya vizuri zaidi yao😀😀
Tuachane na hayo.Kilichonishangaza hadi kuandika huu uzi ni majina ya vyumba vya ile Lodge.Nimezoea kuona watu wakiandika room numbers au majina ya mikoa au wanyama ila huyu mwenye hii Lodge sijui aliwaza nini hadi akaweka haya majina.
Hili la haya majina sina uhakika kama ni la kuiga bado linanifikirisha😀😀😀
Jioneeni wenyewe kwenye picha wakuu🙃⬇️⬇️View attachment 3153877View attachment 3153878View attachment 3153879View attachment 3153880View attachment 3153882View attachment 3153889View attachment 3153890
Kama wewe fundi mbona mzee Grahams kakupora pisi 2 unabaki kulia lia tu😀😀Kwa utongozaji huu hutapata wachuchu humu pole 🤣🤣
Si kila anayeenda lodge ni mzinziKwa hiyo ni lodge ya uzinzi
Niache ncheke kwanza😀😀
Mbona umereact kwenye message yangu kwa kicheko bado tu huoni emojis zako sista 😂😀!?Jamani emoj zangu zimepotea siwezi weka emoji yoyote sijui nimebonya wapi
Chaiii 🫨🫨🫨🫨🫨nina ushahidi wa watu watatu humu ni wapenzi na wametoana humu ni watu wangu wa karibu..na marafiki zangu..so ushauri wangu ni huo...
Ni mrefu pia mkuu we ni mrefu au ni omollo usijekuta anakuzidi urefu!Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe ni binti mrembo sana