father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Hatari sanaππ.Hahaha..........mafao bado yapo, shida ni hawa mabinti wa miaka hii kushindwa kujua kwamba Wazee hatuna nguvu za kurudia safari zaidi ya mara moja
Sasa wanapolazimisha Mzee wa Umri wangu nirudie safari, ndiyo hapo kazi ya kuipepea usiku Kucha ili mnala wa Babeli usimame ndiyo inapowashinda
Bora tumezeeka sasa π
kumbe huyu ndo mmiliki?
Ndo anakoelekea.Ngoja awe single mqza ila wanawake Mungu anawaona wapo tiyari kudate hadi na babu zao ilimradi tu pesa ipo!
Yeahkumbe huyu ndo mmiliki?
π€£π€£π€£Nyau de @adriz
Mbona hiyo kazi ya kuipepea ili mnala wa Babeli usimame tena wanashindwaπHatari sanaππ.
Hivi warembo kuna wanachoshindwa mbele ya pesa?ππ
Chaii ππIngekua ni mimi chumba Cha wema ndo ningekipendelea.Wema ni mrembo jamani
Nimekumiss π€π€π€π€Naam
Sawa jiraniJirani mimi sio mmiliki