father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Hatari sana😀😀.Hahaha..........mafao bado yapo, shida ni hawa mabinti wa miaka hii kushindwa kujua kwamba Wazee hatuna nguvu za kurudia safari zaidi ya mara moja
Sasa wanapolazimisha Mzee wa Umri wangu nirudie safari, ndiyo hapo kazi ya kuipepea usiku Kucha ili mnala wa Babeli usimame ndiyo inapowashinda
Bora tumezeeka sasa 🙌
Hivi warembo kuna wanachoshindwa mbele ya pesa?😀😀