Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Majina sio hatimiliki. Mfano Wema akija kulalamika ataambiwa Wema ya pale ni neno la Kiswahili linaloashiria utu, uungwana. Zari akija ataambiwa ni zari la mentali.

Ingeandikwa CocaCola au Azam ndio ingekuwa shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…