Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Sio kiivyo ila wengi wao ni wahuni ndo maana wanasemwa sana jirani uzinzi na bodaboda ni pete na kidole jirani 😊
Okay.
Sema boda jamani wana akili fulani huwa zinafikirisha
 
Kwann umesema hivyo!? Umewahi kutongozwa nao? 😅
Kutongozwa wanawake hatushangai sema sio wote ila wengi wao ni kama makondoo.
Wale kukuua ni dkk.
Sielewi kwanin wanang’oa site mirror.
Unakuta hana site mirror,earphone masikion ila atahama barabaran wala hageuki.
Kona hapigi honi.
Inshort wengi hawajui traffic rules ila wamekua sehemu muhimu ya maisha yetu.
Ningekua na mamlaka ningewawekea sheria kali sana
 
Hahaha kazi ipo ndo maana marekani hawaruhusu huu usafiri kama biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…