Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Nkienda apo na Kelsea wangu
Ntalala zuchu ili nipewe uno la zuchu😂😂
Mimi na majirani zangu PSL god na father-xmas tutakuwa Diamond 🤪🏃🏿‍♀️
3949629E-94A8-4AEF-ACAF-0752AC3621AA.jpeg
 
Sio kiivyo ila wengi wao ni wahuni ndo maana wanasemwa sana jirani uzinzi na bodaboda ni pete na kidole jirani 😊
Okay.
Sema boda jamani wana akili fulani huwa zinafikirisha
 
Kwann umesema hivyo!? Umewahi kutongozwa nao? 😅
Kutongozwa wanawake hatushangai sema sio wote ila wengi wao ni kama makondoo.
Wale kukuua ni dkk.
Sielewi kwanin wanang’oa site mirror.
Unakuta hana site mirror,earphone masikion ila atahama barabaran wala hageuki.
Kona hapigi honi.
Inshort wengi hawajui traffic rules ila wamekua sehemu muhimu ya maisha yetu.
Ningekua na mamlaka ningewawekea sheria kali sana
 
Hahaha kazi ipo ndo maana marekani hawaruhusu huu usafiri kama biashara
 
Back
Top Bottom