Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Nyieee njooni mumuone mama mtumishi anakula bata peke yake Missy Gf Lamomy ....by the way hapa ni Vikindu Mbagala?Nawaona kule mnapanga vacay kibaguzi na mie ni king'ang'a sikubali kuachwaaa😀😃😜
Tukataliini Vikindu ECOFOREST
then tukichoka tunaenda zetu kulala hapo Alafaya.😃.
Japo lastborn Lamomy kazoea 8star hotels tunakalazimisha😜
Missy Gf Joannah
na bestie angu @mzabzab😎View attachment 3178702View attachment 3178703