Nyieee njooni mumuone mama mtumishi anakula bata peke yake Missy Gf Lamomy ....by the way hapa ni Vikindu Mbagala?Nawaona kule mnapanga vacay kibaguzi na mie ni king'ang'a sikubali kuachwaaa😀😃😜
Tukataliini Vikindu ECOFOREST
then tukichoka tunaenda zetu kulala hapo Alafaya.😃.
Japo lastborn Lamomy kazoea 8star hotels tunakalazimisha😜
Missy Gf Joannah
na bestie angu @mzabzab😎View attachment 3178702View attachment 3178703
Jamani twendeni...ngoja wajeHuyo sio mimi picha nimechukua insta mtumishi ila hapo ni VIKINDU ECOFOREST.
Pazuri sana.
Kuna Camping pia.
Halafu bei zao sasa very cheap
Kabisa.Jamani twendeni...ngoja waje
Unaishi Vikindu dear?Nawaona kule mnapanga vacay kibaguzi na mie ni king'ang'a sikubali kuachwaaa😀😃😜
Tukataliini Vikindu ECOFOREST
then tukichoka tunaenda zetu kulala hapo Alafaya.😃.
Japo lastborn Lamomy kazoea 8star hotels tunakalazimisha😜
Missy Gf Joannah
na bestie angu mzabzab 😎View attachment 3178702View attachment 3178703
Ipo siku au tukupitie twende wote?Na mim nitaenda hapo siku
Mtu anaweza akapata zari kwani nini tatizobaadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Kwani mmiliki ana hatia gani hapo?hayo ni majina kama majina akana hakumaanisha hao unaowahisiWw ulieitaja hii guest utakuwa umemtia hatian mmiliki bila ww kujua
Kaa standby tunakutua ngoja tukae kama kamatiNingefurahi kwa kweli
Hapana mpendwa ila nishakaa siku 5 hapo Alafaya.Wakati huo kulikua hakuna hayo majinaUnaishi Vikindu dear?
Karibu kipenziNa mim nitaenda hapo siku