Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

😍😍 pazuri
Ila huyo mzabab mhmm.!! 😹

Mi nitakuwa nawaangalia anavyowabambia na mlivyobarikiwa mizigo sijui 🀣🀣
 
😍😍 pazuri
Ila huyo mzabab mhmm.!! 😹

Mi nitakuwa nawaangalia anavyowabambia na mlivyobarikiwa mizigo sijui 🀣🀣
Yeah panavutia.

Mecheka hapo kwa mzabπŸ˜€πŸ˜€
Ila huyo mtu sijui kwanini nahisi kiuhalisia ni mtu mwema baba wa familia wale hata mpira anaangalilia sebulen kwake huku anamsaidia wife kubadili mtoto diaperπŸ˜€
 
Huo ndio uhalisia wa mzabzab .......ninamjua vizuri weekend akiwa kwake anachezacheza na vitoto vyake mixer kuvipeleka mlimani City hana hata hizo hekaheka anazodanganya humu
 
Yeah panavutia.

Mecheka hapo kwa mzabπŸ˜€πŸ˜€
Ila huyo mtu sijui kwanini nahisi kiuhalisia ni mtu mwema baba wa familia wale hata mpira anaangalilia sebulen kwake huku anamsaidia wife kubadili mtoto diaperπŸ˜€
😹😹😹
Mzabzab ni tatizo yani ananichekeshaga na story zake za mbususu…. Hakuna siku ipite comment yake asitaje kibamia na mbususu 🀣🀣🀣
 
Sadaka zinalipa na sie tufungue kanisa letu 🀣🀣
We kwa vile unajua kuchangamsha genge naomba uwe nabii,mimi nitakuwa msimamizi wa sadaka,nahakikisha makapu yote yameingia stoo tunayapanga kwa majina mazuri mazuri kama "sayuni,kapernaumu,galilaya,dameski,nazareth na goligotha"mimi kazi yangu ni kusimamia ashers wayapeleke stoo direct mara zoezi la utoaji linapoisha,nafunga stoo ufunguo kibindoni tutahesabu na nabii baada ya ibada....hiyo imekaaje?
 
πŸ˜€πŸ˜€
Mi huwa nawaambia kondoo wa bwana wamjaribu Bwana kwa kutoa hadi wabaki tupu hlf waone vile bwana atawajazia kwa kushindilia na kusukasuka hadi neema zimwagike
😹😹😹
Yani nikiwasoma km hivi hata jumuiya sitokei siku hizi, naona napigwa pesa na muda wangu.!!
 
πŸ˜€πŸ˜€
Mi huwa nawaambia kondoo wa bwana wamjaribu Bwana kwa kutoa hadi wabaki tupu hlf waone vile bwana atawajazia kwa kushindilia na kusukasuka hadi neema zimwagike
Mna maneno ya kutujaza nyie watumishi!basi hapo tunatoa hadi nauli za daladala halafu tukitoka nje tunaanza kutia huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…