Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Nimecheka mpk watu wananishangaa 🤣🤣🤣🤣🤣

Nilikuwa na idea ya kufungua kituo cha polisi nimehairisha twende na kanisa huko kuna PESA.! 😹
 
Hilo kapu la golgotha litajaaje sasa😀
 
Ndo mana nikiona wanaolalamika sadaka zinaliwa nasema hivi hawa hawajui neno limetuagiza tuzitafune sadaka nono hadi tunone?
Ndio maana tunaoijua kweli kumlisha na kumpa mtumishi kila kitu changu hadi mi nibaki peeee sioni kama ni kesi,maana najua hazina zangu naweka mbinguni ambapo nondo wala kutu hazitaharibu....mtumishi mimi nipo na wewe hadi nifilisike
 
Sema hapo kwenye hazina mbinguni TUMEPIGWA 😹
 
Nimecheka mpk watu wananishangaa 🤣🤣🤣🤣🤣

Nilikuwa na idea ya kufungua kituo cha polisi nimehairisha twende na kanisa huko kuna PESA.! 😹
🤣🤣🤣🤣We kiboko kituo cha polisi?mi natamani kumiliki choo cha kulipia maaneo flan ya stend iliyochangamka kumbe tuachane tu tufungue zetu Church si unaona mwenzetu Uwoya kaanza kujiongeza mdogomdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…