Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

🤣🤣🤣🤣We kiboko kituo cha polisi?mi natamani kumiliki choo cha kulipia maaneo flan ya stend iliyochangamka kumbe tuachane tu tufungue zetu Church si unaona mwenzetu Uwoya kaanza kujiongeza mdogomdogo
Kituo cha polisi unachukua pesa yako chap chap, maafande unawalipa kutokana na kasi yao ya ukamataji wahalifu 😹😹

Kanisa linalipa hata magari tukiagiza hatulipii ushuru 🤣
Misaada km yote kutoka nje, em tufanye fasta.!
Tunapishana na gari la pesa
 
Kituo cha polisi lamomy niache😀😀
Dada kituo cha polisi kinalipa, imagine upate wahalifu 20 kwa siku?
Na kila mmoja kutoka kima cha chini elfu 30, una shingapi hapo? 😹😹

Kuna wale walevi mkiwakamata wanakuwa na pesa mifukoni hizo zote mali ya kituo hamna kurudisha.! 🤣
 
Ndio maana tunaoijua kweli kumlisha na kumpa mtumishi kila kitu changu hadi mi nibaki peeee sioni kama ni kesi,maana najua hazina zangu naweka mbinguni ambapo nondo wala kutu hazitaharibu....mtumishi mimi nipo na wewe hadi nifilisike
Yaani mtumishi siku ile tutakapovalishwa taji la kwako litang’aa kuliko wale wanaotoa nusu hlf nusu wanajibakizia😀

Hebu funga macho nikuwekee mkono nikuombee Kipenzi cha baba.
 
Yaani mtumishi siku ile tutakapovalishwa taji la kwako litang’aa kuliko wale wanaotoa nusu hlf nusu wanajibakizia😀

Hebu funga macho nikuwekee mkono nikuombee Kipenzi cha baba.
Amina Amina mtumishi...
Kwanza kwa nini nifiche sadaka?kwani siogopi kufa kama Anania na safari? Weee mimi natoa zooooote😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…