Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Poa poa cha muhimu tufurahie maishaHao hawana baya utawazoea fasta...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa cha muhimu tufurahie maishaHao hawana baya utawazoea fasta...
Ila ukijifanya una imani wanakunyoosha sana....Ninenepeshe shetani kiti akonde 😹😹
Wachungaji wanatuchukulia poa sana
Nimeipenda sana huo ubunifu wa vikapu😀Weeee hao waumini wanaichuchumilia taji.
Pia jumuiya zina faida zake za kijamiiNenda kanisani we mtoto familia yetu inamjua Mungu.
Kituo cha polisi unachukua pesa yako chap chap, maafande unawalipa kutokana na kasi yao ya ukamataji wahalifu 😹😹🤣🤣🤣🤣We kiboko kituo cha polisi?mi natamani kumiliki choo cha kulipia maaneo flan ya stend iliyochangamka kumbe tuachane tu tufungue zetu Church si unaona mwenzetu Uwoya kaanza kujiongeza mdogomdogo
Lengo ni kuibua hisia za waumini....imagine muumini akielekea golgotha au ule mlima yesu alikesha akiomba mpaka machozi ya damu yakatoka weee muumini hapo anajikung'utaaaaaNimeipenda sana huo ubunifu wa vikapu😀
😹😹😹Na mie namuongeza bucci boy😀
SanaPia jumuiya zina faida zake za kijamii
Dada kituo cha polisi kinalipa, imagine upate wahalifu 20 kwa siku?Kituo cha polisi lamomy niache😀😀
MnoIla ukijifanya una imani wanakunyoosha sana....
Yaani mtumishi siku ile tutakapovalishwa taji la kwako litang’aa kuliko wale wanaotoa nusu hlf nusu wanajibakizia😀Ndio maana tunaoijua kweli kumlisha na kumpa mtumishi kila kitu changu hadi mi nibaki peeee sioni kama ni kesi,maana najua hazina zangu naweka mbinguni ambapo nondo wala kutu hazitaharibu....mtumishi mimi nipo na wewe hadi nifilisike
😀😀😀 ila nimecheka sana aiseeNdio maana tunaoijua kweli kumlisha na kumpa mtumishi kila kitu changu hadi mi nibaki peeee sioni kama ni kesi,maana najua hazina zangu naweka mbinguni ambapo nondo wala kutu hazitaharibu....mtumishi mimi nipo na wewe hadi nifilisike
Kwenda sio shida dogo,shida kwenda bila ubongo 😀Siendi tena aiseee.! 😹
Nifilisi tu 😂😂😀😀😀 ila nimecheka sana aisee
Amina Amina mtumishi...Yaani mtumishi siku ile tutakapovalishwa taji la kwako litang’aa kuliko wale wanaotoa nusu hlf nusu wanajibakizia😀
Hebu funga macho nikuwekee mkono nikuombee Kipenzi cha baba.
Hajui neno huyu mtoto hlf anataka kuacha jumuiya!🤣🤣🤣🤣UKOJE lakini.?hebu weka hazina
Ila nilichogundua,watu walioijulia imani ukubwani hawana misingi imara tangu utotoni wanatikiswq sana na mambo ya nyakati,hizi ni nyakati za mihemuko na miujiza fake sasa wanavyodanganyika wooiii