Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Utaweza kuongea kwa kunguruma?😀

Ukiongea kwa kujibebisha hupati sadaka😀
 
Ila nilichogundua,watu walioijulia imani ukubwani hawana misingi imara tangu utotoni wanatikiswq sana na mambo ya nyakati,hizi ni nyakati za mihemuko na miujiza fake sasa wanavyodanganyika wooiii
Katika vitu sishoboki navyo basi hao wachungaji wenye miujiza naona wapigaji, hata anishawishi vipi siwezi kumuelewa.!!
 
Lengo ni kuibua hisia za waumini....imagine muumini akielekea golgotha au ule mlima yesu alikesha akiomba mpaka machozi ya damu yakatoka weee muumini hapo anajikung'utaaaaa
Yeees!
Unamuhamisha kutoka ulimwengu huu wa nyama na kumpeleka golgata😀
Anasikia kabisa na ile saiti ikisema madeni yako ya OYA yamekwisha,michepuko ya mumeo imekwisha,UTI imekwisha😀

Kama ni mzabzab anasikia kibamia kimekwisha😀.
Akitoka hapo anavua hadi shati anaweka kwenye kapu😀
 
😀😀😀
Umewaza mbali dogo😀
Mi ntakua nakaa nje karibu na kituo nawaambia najuana na mkuu wa kituo nipe fungu tumalize kesi😀
Wee unapiga ndani mi napiga nje😀
 
Amina Amina mtumishi...
Kwanza kwa nini nifiche sadaka?kwani siogopi kufa kama Anania na safari? Weee mimi natoa zooooote😁
Wewe si unalijua neno na unaliishi😀
Hawa wengine ndo mana uchumi na afya na ndoa zao zinakufa kifo cha Anania😀
Kamwe asitotokee awaye yeyote kukudqnganya ukaacha kutoa.😀
Ukiona bank zimeisha nenda OYA kakope upate ya kuleta madhabahuni😀
 
Ila nilichogundua,watu walioijulia imani ukubwani hawana misingi imara tangu utotoni wanatikiswq sana na mambo ya nyakati,hizi ni nyakati za mihemuko na miujiza fake sasa wanavyodanganyika wooiii
Kingine siku hizi injili inayofundishwa sio kama ile ya zamani.Sasa hiv ni zama za prosperity gospel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…