Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Tena hiyo kauli mbiu nzuri,"toa sadaka bila shuruti"Hajui neno huyu mtoto hlf anataka kuacha jumuiya!
Aende akapikwe akwive atoe sadaka bila shuruti😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hiyo kauli mbiu nzuri,"toa sadaka bila shuruti"Hajui neno huyu mtoto hlf anataka kuacha jumuiya!
Aende akapikwe akwive atoe sadaka bila shuruti😀😀
Hivi we mtoto unajua anayetakiwa kuwahoji watumishi ni Mungu peke yake.?😀Ninenepeshe shetani kiti akonde 😹😹
Wachungaji wanatuchukulia poa sana
Utaweza kuongea kwa kunguruma?😀Kituo cha polisi unachukua pesa yako chap chap, maafande unawalipa kutokana na kasi yao ya ukamataji wahalifu 😹😹
Kanisa linalipa hata magari tukiagiza hatulipii ushuru 🤣
Misaada km yote kutoka nje, em tufanye fasta.!
Tunapishana na gari la pesa
Katika vitu sishoboki navyo basi hao wachungaji wenye miujiza naona wapigaji, hata anishawishi vipi siwezi kumuelewa.!!Ila nilichogundua,watu walioijulia imani ukubwani hawana misingi imara tangu utotoni wanatikiswq sana na mambo ya nyakati,hizi ni nyakati za mihemuko na miujiza fake sasa wanavyodanganyika wooiii
Yeees!Lengo ni kuibua hisia za waumini....imagine muumini akielekea golgotha au ule mlima yesu alikesha akiomba mpaka machozi ya damu yakatoka weee muumini hapo anajikung'utaaaaa
Atajifanya anajua machimbo ya pamba kali kuliko kalaghabaho😀😹😹😹
Bucci boy atatusumbua sana, km namuona atakavyotuvunja mbavu.! Bongo bahati mbaya u know 🤣
😀😀😀Dada kituo cha polisi kinalipa, imagine upate wahalifu 20 kwa siku?
Na kila mmoja kutoka kima cha chini elfu 30, una shingapi hapo? 😹😹
Kuna wale walevi mkiwakamata wanakuwa na pesa mifukoni hizo zote mali ya kituo hamna kurudisha.! 🤣
Usihofie kufilisika duniani wkt mbinguni una hazina yako binti sayuni😀Nifilisi tu 😂😂
😹😹Utaweza kuongea kwa kunguruma?😀
Ukiongea kwa kujibebisha hupati sadaka😀
Wewe si unalijua neno na unaliishi😀Amina Amina mtumishi...
Kwanza kwa nini nifiche sadaka?kwani siogopi kufa kama Anania na safari? Weee mimi natoa zooooote😁
😹😹😹Atajifanya anajua machimbo ya pamba kali kuliko kalaghabaho😀
😹😹😹😀😀😀
Umewaza mbali dogo😀
Mi ntakua nakaa nje karibu na kituo nawaambia najuana na mkuu wa kituo nipe fungu tumalize kesi😀
Wee unapiga ndani mi napiga nje😀
Mi nishasema mradi neno limesema nipewe vinono ikifikiq nyqkati waumini wanakua wagumu kutoa ntawashikia hata gobole wamtolee bwana😀Tena hiyo kauli mbiu nzuri,"toa sadaka bila shuruti"
Nzuri zaidi analijua neno ndani nje fuli kuwapiga wateule na vifungu😀Anafaa kula vya madhabahuni anajua kuwasomesha waumini watoe sadaka za kujimaliza 😹😹
Kingine siku hizi injili inayofundishwa sio kama ile ya zamani.Sasa hiv ni zama za prosperity gospelIla nilichogundua,watu walioijulia imani ukubwani hawana misingi imara tangu utotoni wanatikiswq sana na mambo ya nyakati,hizi ni nyakati za mihemuko na miujiza fake sasa wanavyodanganyika wooiii
Tuna mipango mizito😅Ila nyie wadada mmenichekesha hapa tumbo linauma😁😁
Kabisa.....sisi wenzao tunaijua ile ya mwanzo dhambi inakemewq mpaka akili inakukaa sawaKingine siku hizi injili inayofundishwa sio kama ile ya zamani.Sasa hiv ni zama za prosperity gospel
🤣🤣🤣mtumishi huna huruma wewe!Mi nishasema mradi neno limesema nipewe vinono ikifikiq nyqkati waumini wanakua wagumu kutoa ntawashikia hata gobole wamtolee bwana😀