Usijali mimi ni kama yule mjane wa Sarepta....alibakiwa na unga konzi moja na kibaba cha mafuta,ila alimpikia mtumishi wa Mungu uliona kilitokea nini?pipa lilijaa unga na mafuta mpaka vinamwagika halafu mtu anidanganye nisimpe mtumishi weeee labda nimerogwa... Nifilisi mtumishi huna baya we ni Mlawi nitakutunza....😅Wewe si unalijua neno na unaliishi😀
Hawa wengine ndo mana uchumi na afya na ndoa zao zinakufa kifo cha Anania😀
Kamwe asitotokee awaye yeyote kukudqnganya ukaacha kutoa.😀
Ukiona bank zimeisha nenda OYA kakope upate ya kuleta madhabahuni😀
Eti mtu kakojoa kenge mwingine kakojoa ng'e🙄🙄🙄🙄🙄hawa watu wanatuona viazi sanaKatika vitu sishoboki navyo basi hao wachungaji wenye miujiza naona wapigaji, hata anishawishi vipi siwezi kumuelewa.!!
Kwanza ni hatari.Katika vitu sishoboki navyo basi hao wachungaji wenye miujiza naona wapigaji, hata anishawishi vipi siwezi kumuelewa.!!
😁😁Ila nyie wadada mmenichekesha hapa tumbo linauma😁😁
Kabisa.Kabisa.....sisi wenzao tunaijua ile ya mwanzo dhambi inakemewq mpaka akili inakukaa sawa
Sadly kuna wanaoamini na huwaambii kituEti mtu kakojoa kenge mwingine kakojoa ng'e🙄🙄🙄🙄🙄hawa watu wanatuona viazi sana
Lazima wamtolee bwana😁🤣🤣🤣mtumishi huna huruma wewe!
Amin amin nakuambia wewe ni kama Daudi machoni mwa Bwana😁Usijali mimi ni kama yule mjane wa Sarepta....alibakiwa na unga konzi moja na kibaba cha mafuta,ila alimpikia mtumishi wa Mungu uliona kilitokea nini?pipa lilijaa unga na mafuta mpaka vinamwagika halafu mtu anidanganye nisimpe mtumishi weeee labda nimerogwa... Nifilisi mtumishi huna baya we ni Mlawi nitakutunza....😅
Nyie kibamia changu mnakisema lakini hamtaki kukionja kwa nini lakini mashangazi wa jf? Nionjesheni vitumbua vyenu na mie niwaonjeshe kibamiaYeees!
Unamuhamisha kutoka ulimwengu huu wa nyama na kumpeleka golgata😀
Anasikia kabisa na ile saiti ikisema madeni yako ya OYA yamekwisha,michepuko ya mumeo imekwisha,UTI imekwisha😀
Kama ni mzabzab anasikia kibamia kimekwisha😀.
Akitoka hapo anavua hadi shati anaweka kwenye kapu😀
Kwanza hakuna uchawi wala uganga utakaoingia kwenye nyumba ya Yakobo....sawa naomba mzee wa kanisa nionane nae jmosi mapema.Amin amin nakuambia wewe ni kama Daudi machoni mwa Bwana😁
Na huyo atakayejaribu kukuroga atakua amechezea sharubu za Yesu.😁
Jumapili utapanda madhabahuni utoe ushuhuda jinsi ulivyoinuliwa baada ya kuingia madeni ili mtumishi ale vinono😁.
Mzee wa kanisa atakuambia maneno ambayo roho anataka uyaseme ktk ushuhuda wako😁😃
Kabisa.Kwanza hakuna uchawi wala uganga utakaoingia kwenye nyumba ya Yakobo....sawa naomba mzee wa kanisa nionane nae jmosi mapema.
Sipendi🤣Kabisa.
Mzee yuko anaandaa script oops muongozo wa ushuhuda wako.
EehNawaona kule mnapanga vacay kibaguzi na mie ni king'ang'a sikubali kuachwaaa😀😃😜
Tukataliini Vikindu ECOFOREST
then tukichoka tunaenda zetu kulala hapo Alafaya.😃.
Japo lastborn Lamomy kazoea 8star hotels tunakalazimisha😜
Missy Gf Joannah
na bestie angu mzabzab 😎View attachment 3178702View attachment 3178703
MchuchuSipendi🤣
Ulikua unafanya nn hapo kwa siku 5Hapana mpendwa ila nishakaa siku 5 hapo Alafaya.Wakati huo kulikua hakuna hayo majina
Salimia kwanza kijana mdogoUlikua unafanya nn hapo kwa siku 5
Ni kama mzee grahams anavyojifanya mbabu.😂Jidanganye unaenda kumlia mzee hela zake😹😹😹
Halafu unaweza kukuta muongo JICHANGANYE km hujaomba mma 🤣