Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Wewe si unalijua neno na unaliishi😀
Hawa wengine ndo mana uchumi na afya na ndoa zao zinakufa kifo cha Anania😀
Kamwe asitotokee awaye yeyote kukudqnganya ukaacha kutoa.😀
Ukiona bank zimeisha nenda OYA kakope upate ya kuleta madhabahuni😀
Usijali mimi ni kama yule mjane wa Sarepta....alibakiwa na unga konzi moja na kibaba cha mafuta,ila alimpikia mtumishi wa Mungu uliona kilitokea nini?pipa lilijaa unga na mafuta mpaka vinamwagika halafu mtu anidanganye nisimpe mtumishi weeee labda nimerogwa... Nifilisi mtumishi huna baya we ni Mlawi nitakutunza....😅
 
Amin amin nakuambia wewe ni kama Daudi machoni mwa Bwana😁
Na huyo atakayejaribu kukuroga atakua amechezea sharubu za Yesu.😁
Jumapili utapanda madhabahuni utoe ushuhuda jinsi ulivyoinuliwa baada ya kuingia madeni ili mtumishi ale vinono😁.
Mzee wa kanisa atakuambia maneno ambayo roho anataka uyaseme ktk ushuhuda wako😁😃
 
Yeees!
Unamuhamisha kutoka ulimwengu huu wa nyama na kumpeleka golgata😀
Anasikia kabisa na ile saiti ikisema madeni yako ya OYA yamekwisha,michepuko ya mumeo imekwisha,UTI imekwisha😀

Kama ni mzabzab anasikia kibamia kimekwisha😀.
Akitoka hapo anavua hadi shati anaweka kwenye kapu😀
Nyie kibamia changu mnakisema lakini hamtaki kukionja kwa nini lakini mashangazi wa jf? Nionjesheni vitumbua vyenu na mie niwaonjeshe kibamia
 
Amin amin nakuambia wewe ni kama Daudi machoni mwa Bwana😁
Na huyo atakayejaribu kukuroga atakua amechezea sharubu za Yesu.😁
Jumapili utapanda madhabahuni utoe ushuhuda jinsi ulivyoinuliwa baada ya kuingia madeni ili mtumishi ale vinono😁.
Mzee wa kanisa atakuambia maneno ambayo roho anataka uyaseme ktk ushuhuda wako😁😃
Kwanza hakuna uchawi wala uganga utakaoingia kwenye nyumba ya Yakobo....sawa naomba mzee wa kanisa nionane nae jmosi mapema.
 
Back
Top Bottom