Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

Kuna guest ya jamaa yangu Iko sirari nilimshauri aandike majina magumu zaidi
  • Boko Haram
  • Janja weed
  • Gaza
  • Mau Mau
  • Al shaabab
  • Al Qaeda. N.K

Majina haya , hata ukimweleza mteja kulala mwisho ni saa 2 asubuhi atakuelewa.
 
Kuna guest niliend chalinze, unaambiwa vyumba viko wazi chagua, kila chumba nachoenda kina demu.

Hizi guest wanatumia ujanja huo kuuza vymba kwa wingi
Hakika ziko mbinu nyingi za kuvuta wateja ila hiyo si inakua ni danguro sasa mkuu?
Sasa ikitokea labda kikundi cha watu wa dini au mtu asiyehitaji mwanamke inakuaje na huyo mrembo huko ndani?
 
😀😀😀
Hakika alipata mtihani ila si angemwambia mama kuwa yeye anapokea wasafiri,vikindi vya michezo na vya dini tu 😀😀
 
baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Majina hayana umiliki kiongoz, Kuna akina Hawa wangapi au wema wangapi!?

Huyo atakaekuja kuseme jina lake limetumika hapo ana uthibitisho gani kuwa mwandishi alimlenga yy na si mwingine?
 
Si kweli kuwa kwa Wilaya nzima ya Mkuranga hakuna lodge classic kama Alafaya.

Zipo ila kwa sababu za kibiashara,sitapenda kuzitaja.
 
Hakika ziko mbinu nyingi za kuvuta wateja ila hiyo si inakua ni danguro sasa mkuu?
Sasa ikitokea labda kikundi cha watu wa dini au mtu asiyehitaji mwanamke inakuaje na huyo mrembo huko ndani?
Hukuona baadhi ya guest watu walikamatwa ubungo?

Yan hizi chimbo ninesoma mchezo pale chalinze ni guest ya madereva wa malori. Na bei yake imesimama, sio danguro uchwara.
 
baadhi ya majina kama ameyaandika kwa ufasaha wa wahusika hayawezi mletea shida kweli..?
wanasheria mnasemaje hapa..?
Hakuna mwenye hati miliki ya hayo majina, kuna kachangudowa hapa mtaani kwetu kanaitwa Samia.

Rais wetu anaitwa Samia Suluhu Hassan hapa ndio unakuwa umemlenga yeye haya ni majina yake anayamiliki yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…