Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matajiri hampendagi sifa 😉😉😉🤣🤣
We sema tu ulikuwa na kidume hayo ni mambo ya kawaida kwa mwanamke 😊😊
I surrender 😎Unataka umchape baba yako utapata laana we binti yangu
😀😊😹😹😹
Pridah anamtaka Elon Musk huko wewe unataka kumuweka kwingine!!
Nishaahidiwa cybertruck mwenzio la kutambishia bongo 🤣
E musk eeeh labda wa masaki sio wa Usa 🤣🤣😀😊
Asinitie majaribuni sitaki kumcheat E Musk wangu.
Una tabia mbayaI cant you😀
Ok daughter!I surrender 😎
Wish me luck bana😀E musk eeeh labda wa masaki sio wa Usa 🤣🤣
Okay father🙏🏼😎Ok daughter!
Competition ni kubwa atakuonea wapi!?Wish me luck bana😀
😂😂😂Mambo ya Tesla au sio?ukute mtumishi anamnyemelea mzungu sijui mchina wa watu ampe share za SpaceX ampige na kitu kizito...😹😹😹
Pridah anamtaka Elon Musk huko wewe unataka kumuweka kwingine!!
Nishaahidiwa cybertruck mwenzio la kutambishia bongo 🤣
Ila nahisi mtawanyonyoa wanakondoo manyoya yote,halafu weekend nyie hao Alafaya ☺️☺️Hapo pa kumung’unya vya wanakondoo ndo pameipa medani hii comment🙏🏼😍😂
😁😁 hamna nimempendea ule ucheshi wake sifati hela😜😀😂😂😂Mambo ya Tesla au sio?ukute mtumishi anamnyemelea mzungu sijui mchina wa watu ampe share za SpaceX ampige na kitu kizito...
😁😁Ila nahisi mtawanyonyoa wanakondoo manyoya yote,halafu weekend nyie hao Alafaya ☺️☺️
😂😂😂Hatari kabisa😁😁
Tunaanzia vikindu ecoforest.
Nilikuwa nakuheshimu sana🥲Leteni madili ya CCM sisi tufanye kazi, taifa hili bila CCM imara ni miyeyusho. Huko Chadema wamejaa majizi mtupu, mkikaa vibaya hata Lisu watamuiba.