Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguni wa ulaya na Tunakodisha bunduki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
Kuna Majina ya Ajabu haijawahi kutokea(in tundu lissu voice) mpaka mtu unajifikiria hilo jina alijipa au alipewa na mtu ,
Mfano Mtu unajiita kubwa jinga Jr ,
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asee inachekesha sana.
Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Katika mtandao wenye Majina ya ajabu na ya kuchekesha basi Jf inaongoza,
....
Ati we umeona jina gani La ajabu humu Jamii forum Share hapa tuone...
Mkuu jina la kawaida kabisa hili.[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hio hilo Kichwa Kichafu ni zuri!!??
Numbisa nalo ni Ajabu cjui ulikuwa unamaanisha nini?
Papi pagumu zaidi?Kote pagumu jaman
duh! lugha gan hio mkuu?@nantombe = Umeamkaje